Naam mdau, leo nimeamua kurudi katika kitu kinachoitwa KUNDI-LIKA. Katika kila stage ya maisha ya mwanadamu kuna vitu fulani ambavyo ni lazima atavipitia, vipo ambavyo ni vibaya na pia vipo ambavyo ni vizuri.
Mfano mtu akipitia katika maisha ya wizi, hili ni baya. mtu akipitia katika maisha ya ibada, hili ni zuri.
KAtika kila kipindi cha maisha watu wa lika fulani watajikuta aidha kwa kupenda ama kutopenda wanapeana majina ambayo yanaendana nao kwa wakati huo. Mfano, Zamani zile kulikuwa na majina kwa vijana kama vile, Chekibobu, Msela nondo, Gangu, Nunda, Tozi, na mengineyo mengi ambayo pia yaliategemea mtu au kijana huyo anaishi wapi na lugha ipi aitumiayo.
Kwa sasa tuna jina jipya,
'SHAROBARO'
Ismail Migomba aka 'Mauzo'
Naam, hili ndilo jina jipya waitanalo Vijana wa sasa.

No comments:
Post a Comment