Assalam alaykum wadau wa MigoFam.
Leo nimeamua kuja na hii fupi lakini inahitaji utendeaji kazi wa hali ya juu kwa maana lipo na lina 'Cost' Jamani Taxi Jero Jero zinatisha.
Amini usiamini kutokana na matatizo ya usafiri Dar wananchi inawalazimu kutumia njia mbadala ili kujisafirisha toka eneo moja la jiji kwenda jingine. Moja kati ya njia hizo ni kupanda gari ndogo (TAXI) ambazo kwa kipindi hicho nazo huamua kukusanya abiria kwa mtindo wa kupiga debe kama 'daladala' na nyingi bei zao huwa ni mia tano (500/=) toka Kipawa hadi Posta ama Kariakoo.
Tunawashukuru sana madereva taxi hawa kwa hili.
Kwa nini basi niameamua kuwaambia watu wae attention na Taxi hizi nilizozipa jina la 'Taxi Jero Jero'?
Itaendelea
No comments:
Post a Comment