Sunday, December 27, 2009

TUMEJIANDAAJE NA MWAKA 2010

Naam mpendwa mdau wa MigoFam, zimebaki siku chache tu kuumaliza mwaka huu wa 2009 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2010. Sipendi kuwa msemaji wako juu ya nini ufanye ila nitafurahi sana kila mmoja wetu atakapoamua kubadilika yaani alkiyeko juu aende juu zaidi na tulioko chini tuchukue fursa hiyo kwenda juu. Nina maana We have to move from the point we are to another point which is better. Nimeongea Ki-Kan....ba ili kuonesha umakini wa haya niyasemayo.

Kwa leo jamani sina mengi naw2atakia maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya, Pia napenda kuwakaribisha tushereheke pamoja katika mkesha wa mwaka mpya ndani ya GFC MOTEL CHANIKA.

C U zea

No comments:

Post a Comment