Mkurugenzi mtendaji na timu nzima ya MigoFam inapenda kuchukua nafasi hii kuwatakia wadau wote Herry na Fanaka katika sikukuu hizi za mwisho wa Mwaka.
MigoFam pia kupitia tawi lake la MigoFam Entertainment inawakaribisha wote kusherehekea kuuaga na kuukaribisha mwaka mpya katika Mkesha wa Mwaka mpya utakaofanyika katika ukumbi wa GFC MOTEL Chanika kwa Mzeru. Wasanii kama vile Khadija Kopa na wengineo kibaowatakuwepo ili kukupa wewe kitu ROHO inataka.
Wotemnakaribishwa.

No comments:
Post a Comment