Kwake Mungu tumetokea na kwa yeye tu ndio marejeo yetu.
Marehemu Mohammed Mpakanjia akiwa anaitikia dua wakati wa shughuli za mazishi ya Marehemu mkewe AMINA CHIFUPA
Kama kuna maisha baada ya kifo huko akhera basi naamini kwa wakati huu Mpakanjia yuko beneti na Marehemu Mkewe Amina Chifupa huko waliko.
Mwenyezi Mungu azilaze mahali pema peponi roho za watu hawa. AMIN


No comments:
Post a Comment