Ni ngumu kwangu kusahau siku ambayo mdogo wangu huyu alipozaliwa kwani ninakumbuka vitu vikuu VITATU,
Kwanza: Ilikua ni siku ya pili baada ya X-Mass yaani siku ya BOXING.
Pili: Ilikua ni siku ambayo mmoja wa shangazi zangu ambaye kwa sasa ni marehemu (Mungu amlaze mahala pema peponi, Amin) alipokua anaolewa.
Tatu: Ni siku ambayo mimi na baba tulikua bize Town tukitafuta aina gani ya TV inatufaa, ikumbukwe suala la TV lilikua ni adimu sana TANZANIA. Tulifanikiwa kurudi na TV ya Black n White iliyokua na jumba lenye rangi nyekundu.
HAPPY BIRTHDAY BROO

MUNGU akupe maisha marefu na yenye baraka tele. AMIN.

No comments:
Post a Comment