Thursday, July 29, 2010

NAKUKUMBUKA SANA MISS KAUNDA

Kama tutazungumzia mabinti warembo waliowahi kupitia NURULYAKIN basi sitoweza kumsahau binti huyu mwenye asili ya KIZIMBABWE

Miss Kaunda akiwa kapozi na mwenzie

Sikuwahi kumpatia mfanowe kwa uzuri na ucheshi aliokuwa nao. Mungu mjaalie azeeke akiwa na uzuri wake. Amin.


No comments:

Post a Comment